📸 je, wahisi upungufu katika kuzungumza kiswahili? jiunge na darasa la Ruth na uanze kuwa jasiri wa Swahili !
👨🏼💼 kwa Miaka kumi na moja sasa nimekua na uraibu mkubwa katika ufunzaji wa Wanafunzi wengi na wa viwango vyote!
🏆 Ni mahiri katika uwasilishaji na kuhakikisha lengo limefikiwa siku kwenda siku!
📈 Kwa waanzilishi na pia kwenye matumizi ya lugha na hata watu wazima,Ni mkreketwa na Ana nafsisha kozi zake kuhakikisha lengo limefikiwa, Anza sasa!
🚩 Wanafunzi wengi wamefikia lengo lao na kuweza kuhitimu kwa kufaulu Katika masomo yao kupitia mikononi mwa mkreketwa huyu . Jiunge Mara moja!
【anayeanza】
Kozi kwa wanaotaka kuanza (kiwango Cha pili2)ndiyo kozi ya pili baada ya misingi ya kiswahili kwa wanaoanza . katika kozi hii,mwanafunzi atakuwa na fursa ya mazoezi kwa kina akiwa na walimu wake wa kiasili.
【matumizi ya lugha】
Kozi hii husaidika katika kukuza stasi za matumizi ya lugha. Walimu wa AmazingTalker huchukua muda kuelewa vizuri mahitaji yako maalumu , na Kisha kuunda muundo ulio na mpangilio mwema wa kuhakikisha umekuza matumizi yako ya lugha .
【watu wazima】
Kozi zetu za kimtandao za Swahili kwa watu wazima zawwza kuinua kiwango chako ufahamu na hata hulka yako .Walimu wataunda kozi kulingana na mahitaji yako binafsi na hata kwa ajili yakufaulu kitaaluma .
🐶 njoo jiunge na darasa langu la jaribio! 🐶
Unatarajia Nini katika kipindi hicho Cha dakika 25❓
➡️Panga na uanze Safari yako ya kusoma pamoja nami!
➡️ Uchambuzi wa kina wa kiwango chako Chasasa
➡️ Kijipindi Cha kutatua shida
➡️mbinu kuu za dhamana za ufunzaji ambazo haziharibu muda!
❗️Sheria za darasa ❕
↘️ Njoo na kalamu na daftari ili kuandikia kilicho Cha maana wakati wa darasa.
↘️ Kila wakati Hakikisha umeunganika na mtandao kabla ya kipindi kuanza.
↘️Hairisha darasa saa 24 kabla ya kipindi hicho . Ikiwa itakubidi uhairishe darasa kwa saa24, Hakikisha umenijulisha kupitia What’s App/AT Chat